Mkuu wa Chuo, Chuo cha Maji, Dr. Shija Kazumba, akijibu Maswali ya Waandishi wa Habari wakati wa ziara ya Naibu Waziri wa Maji, Mh. Jumaa Awesu (Mb) hivi karibuni.

Bw. Juma Masoud (Mkuu wa Kitengo cha TEHAMA Chuo cha Maji) akimuelezea Mh. Naibu Waziri wa Maji, Jumaa Awesu , hali ya Chumba cha Kompyuta Cha chuo Maji. Mh. Jumaa Awesu (Mb) alitembelea Chuo cha Maji hivi karibuni.

Mh. Naibu Waziri wa Maji, Jumaa Awesu (Mb), akipata Maelezo kutoka kwa Ms. Editha Kihaule juu ya utendaji wa Maktaba ya Wanafunzi ya Chuo cha Maji, Ubungo, Dsm. Mh. Jumaa Awesu (Mb) alitembelea Chuo cha Maji hivi karibuni.

Mh. Naibu Waziri wa Maji, Jumaa Awesu (Mb), akimsikiliza Mwl. Catherine Salim wakati akielezea kuhusu vifaa na utendaji katika Maabara ya Upimaji wa Ubora wa Maji, iliyopo Chuo cha Maji, Ubungo, Dsm. Mh. Jumaa Awesu alitembelea (Mb) Chuo cha Maji hivi kar

Mh. Naibu Waziri wa Maji, Jumaa Awesu (Mb), akimsikiliza Mwl. Anania Kilabuko juu utendaji kazi katika Karakana ya Hydraulics iliyopo Chuo cha Maji, Ubungo, Dsm. Mh. Jumaa Awesu (Mb) alitembelea Chuo cha Maji hivi karibuni.

Sehemu ya Wanafunzi wa Chuo cha Maji (WI) wakimsikiliza Mh. Naibu Waziri wa Maji, Jumaa Awesu (hayupo pichani). Mh. Jumaa Awesu alitembelea Chuo cha Maji hivi karibuni.

Dr. Shija Kazumba

Rector - Water Institute (WI)

Biography

Student Information

Upcoming Event

Latest News

 • Oct, 23 2017

  SELECTED LOAN BENEFICIARIES OF RTWTF FOR ACADEMIC YEAR 2017/2018 20th OCTOBER 2017

 • Aug, 18 2017

  APPLICATIONS FOR ADMISSION FOR ACADEMIC YEAR 2017/ 2018.

 • Nov, 18 2016

  ​ATTENTION TO THE WTF LOAN APPLICANTS

 • Oct, 14 2016

  Names of WTF Loan Beneficiaries 2016-17

Partiners