News

Usajili wa Wanafunzi (Diploma & Bachelor)

Wanafunzi wote mnataarifiwaa kuwa muda wa usajili umeongezwa hadi tarehe 15 November, 2019. Hivyo wanafunzi ambao hawajasajiliwa wafanye hivyo baada ya tarehe hiyo kupita hawatapokelewa

Posted on 05th November, 2019